Thursday, March 10, 2011

WAZIRI MKUU MH.PINDA...AKAGUA SHAMBA MISENYI.

Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, akikagua shamba la uzalishaji wa mbegu za mahindi la kikundi cha Umoja ni nguvu cha Mabuye Wilayani Misenyi, akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Kagera. Machi 10, 2011.

- Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

WATEMBELEAJI