Thursday, May 26, 2011

MAPACHA TUMBO MOJA....MWEUSI NA MWEUPE!

Hii kali kweli....mapacha hawa Mama mmoja tumbo moja, lakini wamezaliwa tofauti; mmoja kachukua kwa Baba na mwingine kwa Mama, kwa kawaida watoto huwa wanazaliwa mchanganyiko wa rangi kidogo huku kidogo kule...lakini angalia hapa; mweusi na mweupe pee aka Mzungu. Wataalam wanasema huwa inatokea lakini kwa nadra sana!

No comments:

WATEMBELEAJI