WAPO BIZE SANA KATIKA MITIHANI YAO..JE HALI HII NI SAWA??
Tunatoka mbali wajemeni, unaweza kushangaa akatoka Rais wa nchi hapa, ila baadae na yeye anasahau alikotoka tena, na kuacha mambo yakiendelea ovyo ovyo kama hapa walivyo hivi....!!!!! Hivi hapa mtoto akifeli tutasema hana akili kweli...na shuruba zote hizi za kukaa chini, tena chini ya mchanga. Kweli Bongo - TZ ni tambarare kwa sana tu! Ee Mungu Baba Mwenyezi, tunakuomba uendelee kutusamehe makosa yetu ya kuwakosea wenzetu haki zao msingi kama hapa, pia tunakuomba utujalie tufikie hali ya maisha kwa mahitaji muhimu yanayostahili kwa wote; haki sawa kwa wote!
No comments:
Post a Comment