BWAWA LA KIJIJINI KWETU HILI!
Ukiingia tu kijijini kwetu...lazima ukutane na Bwawa zuri. Hapa mimi na wenzangu ndipo tulipojifunzia kuogelea na kuvua samaki. Kijijini kwetu ndugu zangu wangoni wengi sana, walifuata hili Bwawa kwa samaki. Wengine wamekuwa wenyeji kabisa kushinda mimi...Tanzania tuna undugu mkubwa sana!
No comments:
Post a Comment