Sunday, June 5, 2011

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 7 YA PASKA!

Ee Bwana, usikie kwa sauti yangu ninalia, moyo wangu umekuambia...uso wako nitautafuta usinifiche uso wako.....aleluya!

Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimwogope nani mimi? Bwana ni ngome ya uzima wangu, nimhofu nani mimi?
Neno moja nimelitaka kwa Bwana, nalo ndilo nitakalo lifuata...nikae nyumbani mwa Bwana siku zote za maisha yangu. Niutazame uzuri wa Bwana na kutafakari hekaruni mwake.

No comments:

WATEMBELEAJI