Wednesday, June 29, 2011

OFISA MAWASILIANO BUNGE....KATIKA BUNGE LA TANZANIA!

Binadamu huwa tunatoka mbali jamani, hakuna mtu huzaliwa Mbunge, Waziri, Rais nk.....mara utashangaa kawa Rais wa nchi, enzi hizo Morogoro, jamaa huyo wa pembeni yangu; Prosper Minja, siku hizi ni Ofisa Mawasiliano Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Hongera sana Minja!

Ofisi za Bunge - Dodoma, pamoja na Waziri.



Mh.Prosper Minja...akiwa viwanja vya Bunge - Dodoma, picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari Msalato - Dodoma.





No comments:

WATEMBELEAJI