PANCHA PANCHA......HAPA RATIBA ZINAHARIBIKA KABISA!

Unakuwa umepanga mipango kuwa tutafika saa fulani....lakini pancha hujazipangilia, ndo haya sasa! zinakera kweli kweli...!!!!! Kutokana na matairi yetu, barabara zetu na mambo kedekede. Toka nianze kuendesha Ulaya hata siku moja sijapata pancha katika miaka yangu 11 ya Ulaya.
No comments:
Post a Comment