Wednesday, June 1, 2011

UBUNIFU.. WAKIWEZESHWA WANAWEZA KUFANYA MAAJABU!

Mjasiriamali mmoja ambaye hakufahamika jina lake, mkazi wa Kijiji cha Iguguno, Wilayani Iramba, Mkoani Singida....akiuza ndege aliyotengeneza yeye mwenyewe kwa ubunifu wake. Alikuwa akiuza kwa Sh.35,000/=
Vipaji hivi....watu kama hawa wakiwezeshwa wanakuwa balaa kwa kubuni wa mambo mbalimbali, je nani wa kuwawezesha??

No comments:

WATEMBELEAJI