Friday, June 10, 2011

VIJIJINI KATIKA KUSAKA MAJI...ILI WATU WAPATE HUDUMA HII!




Maji ni Uhai....maji ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, bila maji hatuwezi kuishi. Lakini tatizo hili bado sana katika nchi yetu, ukitembelea vijiji vingine mpaka utatamani kulia kwa shida walizo nazo katika swala hili muhimu sana la maji.


No comments:

WATEMBELEAJI