Sunday, July 3, 2011

IRINGA MOJA HII.......




Karibu na kufika Ruaha hapa....tukisubiri barabara ya zamu, kutesa kwa zamu. Barabara hii ikiwa katika matengenezo. Ila nawapa hongera sana, kwa muda mfupi sana toka nimepita mara ya mwisho January mwaka huu wameweza kuikamilisha vizuri sana, na imebaki kipande kidogo sana. Pia lami imetulia sana hadi raha! Yaani Iringa kwasasa unanusa tu!


No comments:

WATEMBELEAJI