Sunday, July 3, 2011

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 13 YA MWAKA!

Enyi watu wote pigeni makofi, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe!

Ee Mungu, umependa kutufanya sisi tuwe wana wa nuru kwa neema uliyotufadhilia. Tunakuomba utujalie tusifunikwe na giza la udanganyifu, bali tukae daima peupe katika nuru ya kweli.

Fadhili za Bwana nitaziimba milele kwa kinywa changu nitavijulisha vizazi vyote uaminifu wako. Maana nimesema; fadhili zitajengwa milele katika mbingu utaudhibitisha uaminifu wako.

No comments:

WATEMBELEAJI