Sunday, July 10, 2011

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 14 YA MWAKA!

Tumezitafakari fadhili zako ee Mungu, katikati ya hekalu lako. Kama lilivyo jina lako ee Mungu, ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia. Mkono wako wa kuume umejaa haki.

Bwana asema; Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

Ee Bwana sisi tuliojaliwa thawabu zako nyingi sana, tunakuomba utujalie fadhili zako za wokovu tena tusichoke kamwe kukusifu.

No comments:

WATEMBELEAJI