Tuesday, July 5, 2011

PAMOJA NA WAKUU WA TULONGE....NDANI YA MAKUMBUSHO!



Mkuu Alfan...akitoa utambulisho!



Ndani ya Makumbusho - Dar es salaam - Tanzania. Kukutana na kufahamiana ni jambo zuri sana katika maisha haya, undugu huanza hapa hapa. Hapa siku tumekutana na Wakuu wa mtandao wa Tulonge, tukiongozwa na Mzee Tulonge mwenyewe (Kulia mwa picha) Mkuu Dismas. Mwanzilishi wa Tulonge.





No comments:

WATEMBELEAJI