AJALI HII YA NDEGE IMEUA RUBANI NA MBUZI WATATU.
Ndege ndogo aina ya Piper Pa 34-300 namba 5H-QTE, mali ya World Quality Travel and Tour Limited....ikiwa imeanguka nyumbani kwa Maria Akyoo, huko Arumeru Mkoani Arusha, na kuua Rubani na mbuzi watatu.- Picha na habari Prisca Libaga.
No comments:
Post a Comment