.......MISINGI YA HAKI, AMANI NA MSHIKAMANO WA KITAIFA.
Mauwaji ya Rais Muammar Ghaddafi wa Libya, yamepokelewa na watu mbalimbali kwa hisia tofauti, lakini kama binadamu....kifo chake kinapaswa kuheshimiwa. Kifo chake kiwe ni msingi utakaojengwa kwanza kabisa; Haki, Amani na Mshikamano wa Kitaifa, kwa kuwawezesha wananchi wa Libya kufikia maendeleo endelevu. Kwa kiasi kikubwa watu wengi wa Libya wamekumbana na manyanyaso pamoja na madhulumu kutokana na utawala wa Rais Ghaddafi.
- Tunaitakia Libya kila lakheri nyingi ili ifanikiwe kuwa na Amani.
No comments:
Post a Comment