Kuna jamaa yangu mmoja hivi, aliniambia maneno fululani, sasa sijui ni kweli au ni usanii wake tu, maneno yenyewe ni haya;
UKITENDA JAMBO VIBAYA LAKINI NIA YAKO ILIKUWA NJEMA....BASI MUNGU HULITAKASISHA.
NA UKIFANYA JAMBO JEMA, KUMBE NIA YAKO ILIKUWA MBAYA....BASI MUNGU HULINAJISISHA.
Kazi kweli kweli....!!!!
No comments:
Post a Comment