Tuesday, October 18, 2011

LEO NI LEO TENA....CLABU BINGWA ULAYA WAKISHUKA DIMBANI.

HAYA TENA LEO CLABU BINGWA ULAYA WAKIZICHAPA LEO USIKU HUU, MIMI NA TIMU YANGU AC.MILAN, NI HAPO KESHO TUTASHUKA UWANJANI....LEO NI WATANI WETU WA JADI INTER MILAN, WAPO HUKO UFARANSA TUONE NINI WATAKACHO KIFANYA. KILA LAKHERI BINAMU ZETU (NOSTRI CUGINI).

No comments:

WATEMBELEAJI