Ee Mungu Mwenyezi wa milele, utuzidishie imani, matumaini na mapendo. Utuwezeshe kupenda unayoamuru, tustahili kupata na hayo unayoahidi.
Kristu ametupenda, akajitoa kwaajili yetu sadaka na dhabihu kwa Mungu....kuwa harufu ya manukato.
- Nasi tunakupenda sana, tunakuomba siku zote utuangalie kwa huruma yako....tupate kuishi vizuri kwa kuwapenda jirani zetu kama nafsi zetu, utuwezeshe pia kuwa nawe siku zote kwa ukaribu zaidi.
No comments:
Post a Comment