Monday, October 17, 2011

MAZINGIRA MAGUMU YANACHANGIA SANA ELIMU DUNI.

Hapa ni nyumba ya Walimu, katika Kijiji cha Darpori, Wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma. Shule ina nyumba mbili tu za kuishi walimu, hali ambayo haitoshelezi kabisa hata Familia moja, walimu wamekata tamaa ya maisha. Hii ni changamoto kwa Serikali ya Kijiji hicho chenye utajiri mkubwa wa madini aina ya dhahabu, kujenga nyumba bora za walimu. Pia ni changamoto kwa Serikali yetu kwa ujumla, kumaliza matatizo kama haya; kwa mali tulizo nazo haya yote yanawezekana kabisa.

No comments:

WATEMBELEAJI