Monday, October 17, 2011

NI WAKATI WA DUNIA KUBADILIKA NA KUWAPA WANAWAKE........

.........NAFASI ZAIDI, IPU YAAMBIWA. AFRIKA MASHARIKI YAPONGEZWA. Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.Anne Makinda...akijadiliana jambo na Mhe.Angella Kairuki Mb, mara kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza kuu la IPU leo ambapo suala la Wanawake kupewa nafasi limejitokeza kwa nguvu kubwa, huku Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) ikipongezwa kwa kuwa na Maspika watatu wanawake kati ya watano. Aidha Rwanda imekuwa kinara kwa kuwa na 56% ya Wabunge Wanawake.

Mhe.Susan Lyimo, wa Tanzania na Mhe.Fortunatus Masha, wa Bunge la Afrika Mashariki ni wajumbe wa Kamati ya Nuclear non Proliferation and Disarmament ya Inter-Parliamentary Union - IPU.


- Picha na Prosper Minja - Bunge.


No comments:

WATEMBELEAJI