Tuesday, October 18, 2011

RAIS KIKWETE....AKITETA JAMBO NA MTOTO HUKO MPANDA.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimwambia jambo mtoto Jane Bernard....muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda, Mkoani Rukwa...ambapo alifungua kongamano la uwekezaji katika ukanda wa Ziwa Tanganyika, lililofanyika Mjini Mpanda jana.


- Picha na Mkuu Issa Michuzi.

No comments:

WATEMBELEAJI