Friday, October 14, 2011

SIKU NILIPOENDA KUMUENZI MWALIMU NYERERE BUTIAMA!

Pamoja na mtoto wa Mwalimu, ndugu Madaraka Nyerere.....alitukaribisha vizuri sana tena sana, na kutupatia historia nzuri sana ya Mwalimu.... huko kijijini kwao Mwitongo - Butiama.





Katika kaburi la Mwalimu Baba wa Taifa.






Siku tulipofika Butiama, mimi na marafiki zangu kumuenzi Mwalimu Baba wa Taifa letu....katika kaburi lake. Picha hizi nimezikumbuka sana hasa kwa siku ya leo katika kumuenzi Mwalimu.






No comments:

WATEMBELEAJI