Nitakushukuru Bwana kwa moyo wangu wote....mbele ya miungu nitakuimbia dhaburi! Nitasujudu nikilikabiri hekaru lako Takatifu, nitalishukuru jina lako milele na milele daima.
Nitalishukuru jina lako ee Bwana wangu, kwaajili ya fadhili zako na uaminifu wako, kwa maana umekuza hadhi kuliko jina lako, siku ile nilipokuita.....uliniitikia na ukanifariji nafsi kwa kunitia moyo.
No comments:
Post a Comment