TUVAE UPENDO WA MUNGU, ILI TUPATE KUWA NA FURAHA!
Tuvaeni upendo wa Mwenyezi Mungu, ili tupate kuwa na furaha tele na matumaini. Himizo kwa kila mtu kulivaa vazi la harusi....lililo andaliwa kwaajili ya karamu, vazi hili ni upendo....upendo kwa Mungu na majirani zetu. Kwa kuvaa vazi hili na kuliishi....kuna maisha ya furaha tele na matumaini, hasa wakati huu mgumu ambao tunakabiliwa na kipeo kikali cha matatizo ya Kijamii, hasa ukosefu wa ajira.....unaosababisha kukua kwa wimbi la uhalifu miongoni mwa Jamii yetu.
No comments:
Post a Comment