Wednesday, October 26, 2011

UJENZI WA BARABARA YA MANYONI - CHAYA (TABORA).



Barabara hii ya Manyoni - Chaya (Tabora) ikijengwa kwa kasi sana....moja ya Lori likionekana likimwaga mchanga kwenye barabara hiyo inayoigharimu Serikali zaidi ya sh.Biliani 109.6, mradi huu unajengwa na Kampuni ya Sinohydro...kutoka nchini China.

No comments:

WATEMBELEAJI