Ndoto za maskini kama mimi ni hizi; HakyaMungu ipo siku na mimi nitakuja kununua dude kama hili we ngoja tu!ipo siku. Itabakia tu maneno basi, ila kweli hii ni kufuru sana mimi binafsi naona hivi. Kuna watu duniani wanateseka mpaka basi.....wapo wengine wana hela mpaka hawajui wazifanyie nini. Ila mwisho wa yote ni kifo tu! ipo siku utaviacha vyote hivi vizuri na kukumbana na hukumu ya mwisho; kudadadeki hapo ndipo utaonja jeuri yako.
- Nami nasema; SHERIA DUNIANI....HAKI MBINGUNI.
No comments:
Post a Comment