Monday, October 10, 2011

USO KWA USO NA ISSA MICHUZI....BUNGENI - DODOMA!

Issa Michuzi, wa MICHUZI BLOG aka ANKAL....wa kwanza kushoto, na Mbunge wa Musoma Mjini, Mh.Vicent Nyerere, wa kwanza kulia, nami nikiwa kati.... Siku nilipokutana nao baada ya kikao cha Bunge kuisha...huko Dodoma aka Idodomia, au ukipenda DOM. Nilifurahi sana kukutana na Waheshimiwa hawa, hasa rafiki yangu mkubwa Mh.Michuzi.



ANKAL Michuzi na Mbunge wa Kawe, Mh.Halima Mdee...na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk.David Mathayo na mdau, Bungeni Dodoma. Nami sikucheza mbali kuwapiga picha ya kumbukumbu.





Mh.Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akipiga story na Waziri Mkuu wa zamani, Mh.Edward Lowassa....Baada ya kikao cha Bunge kuisha. Hapo Bungeni Dodoma.







No comments:

WATEMBELEAJI