Wednesday, October 5, 2011

VITUKO VYA MITAANI........JAMANI!!!!!

Watu wengine kwa visa hawajambo; eti jamaa anampigia simu rafiki yake na kumwambia naomba umpe simu mkeo kuna issue nataka kuongea nae. Jamani sio ugomvi huu?

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hapa duniani kuna vituko vya kila aina....kwa nini asimpigia mke wa rafiki yake moja kwa moja?

WATEMBELEAJI