.........MOJA YA NDOTO ZAKE.
Advocate Yusta Msoka
Yusta Msoka akiwa amesimama nyuma, mbele ya dirisha la pili upande wa kulia, akiwa katika picha ya pamoja na Wanasheria wenzake baadaya kula kiapo cha kuwa Advocate ( Wakili).
KAPINGAZ Blog inapenda kumpongeza sana Dada Yusta kwa kufanikiwa kufikia hapo alipofikia, vile vile inamshauri asiishie hapo aendelee zaidi mpaka aweze kufikia level ambayo ni ya Kimataifa.
Kwa kutambua uhaba mkubwa wa Mawakili katika Taifa letu, tunapenda kuwapongeza wale wote walioweza kufanikiwa kuwa Mawakili, tunawaomba waafanye kazi zao kwa uadilifu na kuliletea sifa na mafanikio mazuri Taifa letu, hasa hasa kuwa makini katika mikataba mikubwa ambayo Taifa letu sasa linaangamia kutokana na mikataba hiyo.
Pia Blog hii ya KAZI YAKO NI JINA LAKO, inampongeza sana kwa hatua aliyofikia, na kuwapongeza Mawakili wote hapo.

No comments:
Post a Comment