Mwili wa mtu aliyenaswa na umeme wakati akijaribu kuiba mafuta ya Transifoma ukishushwa chini na mafundi wa Tanesco Mwanza, ukitolewa juu ya nguzo.
Wafanyakazi wa Tanesco Mwanza, wakivuta kamba ili kushusha mwili wa mtu aliyekufa baada ya kunaswa na umeme.
- Nami nasema; Jamani chonde chonde, tusijaribu mambo kama haya ni hatari sana kwa maisha yetu...angalia sasa hapa jinsi ilivyotokea, wizi huu matokeo yake ni haya!
- Picha na Habari na Bartazar Mashaka - Jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment