Tuesday, November 15, 2011

BIDHAA YA DODOMA HII....KWA TANZANIA YETU!

Kwa Tanzania yetu bidhaa hii ya Zabibu hupatikana kwa wingi sana Mkoani Dodoma....pia ni Dodoma pekee kwa Tanzania hulima zao hili, kama sikosei....au kama kuna mtu anajua sehemu nyingine wanalima mambo haya, basi anielimishe na mimi.

No comments:

WATEMBELEAJI