..........TANZANIA NDANI YA BILL AND MELINDA GATE FOUNDATION.
Dr.Regina Kapinga
Mama Regina (Program Officer of Bill & Melinda Gate Foundation) ni Mtanzania wa kwanza kuchaguliwa kuwa Staff wa Bill and Melinda Gate Foundation.
Kutokana na Elimu na uzoefu aliokuwa nao katika kufanya kazi kubwa ya technolojia ya Microsoft ikaona imtumie katika kuweza kusimamia shughuli zote zinazohusu misaada mbali mbali katika Mabara maskini Duniani, yaani Africa na Asia.
Watanzania tunakutakia afya njema ili uweze kuitangaza zaidi Nchi yetu, tunaamini kupitia wewe Taifa letu litafaidika na misaada mbali mbali kutoka kwenye Foundation hiyo.
- Kapingaz.
Dr.Regina KapingaMama Regina (Program Officer of Bill & Melinda Gate Foundation) ni Mtanzania wa kwanza kuchaguliwa kuwa Staff wa Bill and Melinda Gate Foundation.
Kutokana na Elimu na uzoefu aliokuwa nao katika kufanya kazi kubwa ya technolojia ya Microsoft ikaona imtumie katika kuweza kusimamia shughuli zote zinazohusu misaada mbali mbali katika Mabara maskini Duniani, yaani Africa na Asia.
Watanzania tunakutakia afya njema ili uweze kuitangaza zaidi Nchi yetu, tunaamini kupitia wewe Taifa letu litafaidika na misaada mbali mbali kutoka kwenye Foundation hiyo.
- Kapingaz.
No comments:
Post a Comment