Wednesday, November 16, 2011

HAPA NI MAMBO HADO HADO TU......USAFIRI ZOMBO!

Wakazi wa Kata ya Zombo, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro.....wakikokota baiskeli zao juu ya daraja dogo la mbao katika mto Zombo, Wilayani humo.
Wakazi wa hapa wanahitaji daraja la kudumu kwa kuzingatia ukweli halisi wa shughuli za kiuchumi na kijamii zinazowakabili.

No comments:

WATEMBELEAJI