Sunday, November 27, 2011

IBADA YA KUWAOMBEA MAPADRI WALIOFARIKI KWA AJALI YA GARI.

Baadhi ya Waumini walioshiriki katika Ibada ya kuwaombea Mapadri Wakapuchini, waliofariki katika ajali ya gari eneo la Ruvu kwa Zoka...mapema wiki hii, tarehe 22 Novemba 2011.
Ibada hiyo ilifanyika leo katika Parokia ya Pugu Jijini Dar es salaam. Serikali ya Tanzania iliwakilishwa na Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh.Bernard Membe.

- Picha na Assah Mwambene.

No comments:

WATEMBELEAJI