Tuna maisha ya umaskini sana lakini....furaha kila upande upitapo, watu hutabasamu na kucheka daima. Maisha magumu sana lakini kwa swala hili tumejaliwa, full time ni mashangwe tu! Wenzetu matajiri wana kila kitu lakini.....mmmmhhhh...!!!!! kuona mambo kama haya ya full shangwe ni nadra sana, kila mara watu wamenuna tu....ukiuliza kitu unajibiwa ovyo ovyo tu!
- Tuzidi zaidi na zaidi kuitunza furaha hii tuliyo nayo, kwani ni lulu!
1 comment:
huyu mama yuko happy pamoja na hali yake ya maisha lakini anaonekana kuridhika nayo nahivyondio inatakiwa mtu kufurahi na kukubaliana na maisha unayo ishi
Post a Comment