Mwanzirishi wa Kituo cha Watoto yatima cha Makalala - Mafinga - Iringa, akiwa na mmewe na mtoto wao....alikuja nyumbani Italy kujifungua, na sasa anahamu sana ya kurudi tena huko Makalala ili kuendeleza libeneke la kituo cha Watoto yatima, anasema anawamiss sana watoto wake yatima, nilikutana nae katika chakula cha usiku ili kuongea mambo mbalimbali ya kituo hicho cha Makalala. Kituo kinaendelea vizuri sana ila akirudi na Malaika itakuwa poa zaidi. Anasema mtoto akikua kidogo lazima arudi huko haraka iwezekanavyo.
- Kila lakheri nyingi sana Malaika ili uweze tena kurudi Makalala.
No comments:
Post a Comment