Tuesday, November 1, 2011

MAMA HUYU ALIAMUA KUJICHOMA MOTO, KUTETEA WEUSI WAKE!

Alichoka na manyanyaso ya ubaguzi wa rangi.....kutoka kwa wazungu. Ndipo alipochukua uamzi wa kujiteketeza kwa moto hadharani kabisa kutetea weusi wake. Hili swala lilitokea hapo siku za nyuma.....sijui liliishaje? Sikulifuatilia sana tena....kuona picha hii nimekumbuka tukio.

No comments:

WATEMBELEAJI