Monday, November 28, 2011

NAENDA KUTAFUTA MALISHO YA MIFUNGO YANGU!







Mfugaji wa Kimasai kutoka maeneo ya Merela, Wilayani Mvomero, Mkoani Morogoro...akisafirisha mifugo yake kwenda kutafuta malisho, kama alivyokutwa na mpiga picha hizi....akiswaga mifugo hiyo katika Kijiji cha Kipera - Mlali. Ni kawaida ya wafugaji hasa wa Masai kuishi kwa kuhama hama kila wakati pindi eneo wanaloishi likikubwa na ukame, jambo ambalo husababisha kukosekana kwa majani na maji...hulazimika kuhamia eneo lingine lenye majani na maji kwawingi.


- Picha na Mkuu Father Kidevu.





No comments:

WATEMBELEAJI