Monday, November 21, 2011

TAMADUNI ZA KWETU HIZI.

Jando.....ni tamaduni za kwetu, ni katika kukua(kuwa mwanamme). Unapelekwa porini kwa muda wa mwezi mmoja, nguo zako ni huo udongo mwilini. Na mambo kede wa kede, mafunzo mazuri katika kuishi na jamii nzima, na mambo mazuri mengi.....bila kusahau mateso ya huko porini ni balaa.

No comments:

WATEMBELEAJI