Thursday, November 10, 2011

WATOTO WAKISAFIRI KWA PUNDA KM 15 KUSAKA MAJI MORO.



Watoto Maulid na Richard, wakisafiri kwa punda kusaka maji....umbali wa Kilomita 15, wakati Tanzania inajiandaa kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wake. Watoto hao walidai wanatoka katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera, Kata ya Mlali, Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro....wakifuata maji Mlali. Watoto hao walisema; eneo tunaloishi halina maji kabisa hivyo tunalazimika kwenda Mlali mjini kuchota maji kwa kutumia usafiri huu wa Punda.


- Picha na maelezo kwa hisani ya Dunstan Shekidele.



No comments:

WATEMBELEAJI