Monday, November 28, 2011

WHAT'S WRONG WITH THIS PHOTO?

Pichani Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akimshuhudia Waziri Mkuu, Mh.Mizengo Pinda....akinywa kinywaji cha asili aina ya chipumu ''Pombe ya Isute'' kinachotengenezwa na kabila la watu wa Katavi na Rukwa, alikotokea Waziri Mkuu Pinda.....wakati wa Tamasha la siku ya Utamaduni wa Mtanzania iliyowasilishwa na kabila la Jamii za Mikoa ya Rukwa na Katavi, lililofanyika kwenye Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es salaam, tarehe 25 Novemba 2011.
Kinachofanyika katika picha hii sio kitu kibaya.....ni ishara ya kuendeleza mila zetu, desturi na tamaduni....lakini kuna kitu ambacho hakipo sawa sawia katika picha hii hususani katika karne hii. Je unaona ninachokiona? What's wrong with this photo?



















No comments:

WATEMBELEAJI