Monday, December 5, 2011

AJALI YA BASI KUTOKA NJE YA BARABARA - MOROGORO!

Basi la abiria la Kampuni ya MK...likiwa kando ya barabara ya Morogoro, baada ya Dereva kuacha njia na kuingia porini wakati akipishana na msafara wa Rais Jakaya Kikwete....ulioibuka ghafla ukielekea Chalinze, Mkoani Pwani, juzi. Baadhi ya abiria walipatwa na mshituko.

- Picha na Habari na Majira.

No comments:

WATEMBELEAJI