BARABARA YA MOROGORO - IRINGA....NI BALAA KWA AJALI.
Hii barabara ya Morogoro - Iringa ni balaa kweli....huwa kila nikipita lazima nikute ajali zimetokea, maana ina magari mengi sana....barabara yenyewe nyembamba na kona kwa sana. Kuwa mwangalifu sana unapoenda pande za huko!
No comments:
Post a Comment