Monday, December 5, 2011

KWAHERI RAFIKI MR.EBBO....MUNGU AWE NAWE!

Leo ndio yalikuwa mazishi ya Mwanamziki mashuhuri Abel Motika a.k.a Mr.Ebbo...huko mjini Arusha, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi....amina!

Kumbukumbu na kibao chake hiki maarufu Tanzania cha; BODABODA...sikiliza hapa kwa kumwezi Mr.Ebbo.


No comments:

WATEMBELEAJI