Thursday, December 22, 2011

LIGI DARAJA LA TATU...YATAWALIWA NA VITUKO MOROGORO!

Askari..akimsaka Shabiki, kwa kutumia mbwa....baada ya Shabiki huyo aliyeingia uwanjani na kummwagia mkojo GoliKipa wa Timu ya Hot Stars.
Kibabu kilevi kikifanya vituko vyake mbele ya mashabiki.
Mashabiki wakitwangana makonde.

Mzee mlevi akiendeleza vituko vyake katikati ya uwanja, wakati Timu zikiwa kwenye mapumziko ya kuisha kwa kipindi cha kwanza.
Timu zikikaguliwa na Mgeni Rasmi.
Golikipa, aliyemwagiwa mkojo na shabiki, (kulia mwenye nyekundu) akiwa na mchezaji mwenzake. Kushoto ni Babu mlevi aliyeingia uwanjani wakati wa tukio hilo la Kipa kumwagiwa mkojo na shabiki.

- Picha na Habari na; Global Publishers.

No comments:

WATEMBELEAJI