Saturday, December 24, 2011

MAANDALIZI MEMA YA SIKUKUU HII NJEMA YA X-MAS!

Leo ni mkesha wa sikukuu hii njema ya Noeli.....ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristu, hivyo; Nawatakieni maandalizi mema sana, na tuwe na amani katika kuisherekea sikukuu hii nzuri. Wadau wangu wote hapa kila lakheri kwa yote!

No comments:

WATEMBELEAJI