MAFURIKO YA DAR....MISAADA IWAFIKIE KWELI WALENGWA!
Misaada ya Waathirika wa Mafuriko Dar es salaam, inayotolewa na Watu mbalimbali Duniani...tunaomba sana iwafikie walengwa kweli. Maana mambo haya wengine ndo wanajipatia mtaji hapahapa, tuwe na aibu hata mbele za Mwenyezi Mungu, msaada unatolewa usaidie watu na kweli uwafikie walengwa husika. Sasa wengine ndio furaha kwao...hivi kusema hamwoni watu wanavyoteseka? Kuweni na aibu!
No comments:
Post a Comment