Thursday, December 22, 2011

MAFURIKO YA DAR....WANASEMA HAIJAWAHI KUTOKEA TOKA 1954.























Mafuriko ya Dar es salaam ni kiboko....wanasema haijawahi kutokea toka wakati ule wa Mwaka 1954.


Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imesema; Mvua iliyonyesha kwa siku mbili katika Jiji la Dar es salaam.....imevunja rekodi kwani ni ya kiwango kikubwa sana kisichofikiwa tangu Mwaka 1954.







No comments:

WATEMBELEAJI