Friday, December 30, 2011

MAJI NI UHAI....TUNZA MAJI......MAGUMU SANA KUYAPATA!























Usichezee maji ovyo ovyo wewe uliyebata bahati ya kuwa nayo wakati wowote....kumbuka wengine maji kwao ni dhahabu, wakati mwingine zaidi hata ya dhahabu. Pia upatikanaji wake ni mgumu sana kwa Tanzania yetu, mimi najua sana swala hili.







No comments:

WATEMBELEAJI