Saturday, December 10, 2011

MAMBO HAYA SIYAPENDI KWELI......HATA UGAIBUNI YAPO TU!

Mimi binafsi huwa nasema; ni heri nimwache mke kuliko kumpiga.....kama atanishinda kabisa ni heri aende zake tu! Rafiki yangu huwa ananiambia wewe unasema hivi kwasababu bado hujaoa na hujui wanawake walivyo bila kupigwa, lakini mimi naona sio sababu; msimamo wangu ni huu huu tu....heri aende tu! kuliko kumpiga, nikiona kuongea na kutafuta tatizo kulitatua inashindikana.....basi nenda tu mama! lakini kukupiga siwezi. Mambo gani haya?

No comments:

WATEMBELEAJI